Mtawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mtawa ni mtu anayejitenga na ulimwengu ili kuishi maisha maadilifu.

Katika dini mbalimbali, mfano mmojawapo ni ule wa wamonaki. Lakini katika Ukristo, historia ya Utawa ilitokeza aina mbalimbali.

Katika Kanisa Katoliki, ni mwamini yeyote aliyejiweka wakfu hasa kwa kushika useja mtakatifu, na kwa kawaida pia ufukara na utiifu.

Mara nyingi watawa wanaunda mashirika yenye karama moja inayofafanuliwa na kuratibiwa katika kanuni na katiba maalumu.

Mtawa anaweza kuwa mwanamume au mwanamke, mwenye daraja takatifu au la.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine