25 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1865 - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 1865 - John Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946)
- 1887 - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1908 - Theodore Roethke, mshairi kutoka Marekani
- 1925 - Shehu Shagari, Rais wa Nigeria (1979-1983)
- 1926 - Miles Davis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1933 - Patrick Cullinan, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1959 - Abdul Jabir Marombwa, mbunge wa Tanzania
- 1961 - Abdulkarim Esmail Hassan Shah, mbunge wa Tanzania
- 1975 - Lauryn Hill, mwanamuziki kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 615 - Papa Boniface IV
- 735 - Bede Mheshimiwa
- 1085 - Papa Gregori VII
- 1261 - Papa Alexander IV
- 1983 - Mfalme Idris I wa Libya