Papa Alexander IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Alexander IV (takriban 1199 – 25 Mei 1261) alikuwa papa kuanzia 12 Desemba 1254 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Rinaldo Conti. Alikuwa mpwa wa Papa Gregori IX.
Alimfuata Papa Innocent IV akafuatwa na Papa Urban IV.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Alexander IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |