Abdulkarim Esmail Hassan Shah
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdulkarim Esmail Hassan Shah (amezaliwa tar. 25 Mei 1961) ni mbunge wa jimbo la Mafia katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Abdulkarim Esmail Hassan Shah (21 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |