1927
Kutoka Wikipedia
| Miaka: | 1924 1925 1926 - 1927 - 1928 1929 1930 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 10 Aprili - Marshall Nirenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 9 Mei - Manfred Eigen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
- 14 Oktoba - Roger Moore, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 16 Oktoba - Gunter Grass (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1999)
[hariri] Waliofariki
- 27 Aprili – Albert Beveridge (mwanasiasa wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1920)
- 5 Julai - Albrecht Kossel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1910)
- 29 Septemba - Willem Einthoven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924)
- 2 Oktoba - Svante Arrhenius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1903)

