Manfred Eigen
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manfred Eigen (amezaliwa 9 Mei, 1927) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza athari mbalimbali za kikemia. Mwaka wa 1967, pamoja na Ronald Norrish na George Porter alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

