James Ford Rhodes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rhodes mnamo 1902

James Ford Rhodes (1 Mei 184822 Januari 1927) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1918, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake History of the Civil War, 1861-1865.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Ford Rhodes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.