22 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1788 - George Byron, mshairi Mwingereza
- 1901 - Mtakatifu Alberto Hurtado (padre Mkatoliki kutoka Chile)
- 1908 - Lev Landau (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962)
- 1936 - Alan Heeger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 1949 - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 1977 - Hidetoshi Nakata, mchezaji wa mpira kutoka Japani
Waliofariki [hariri]
- 1901 - Malkia Viktoria wa Uingereza (1837-1901)
- 1919 - Carl Larsson, mchoraji kutoka Uswidi
- 1922 - Papa Benedikt XV
- 1922 - Fredrik Bajer (mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 1925 - John Singer Sargent, mchoraji kutoka Marekani
- 1957 - Ralph Barton Perry, mwandishi na mwanafalsafa kutoka Marekani
- 1973 - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-69)