George Byron
George Gordon Byron, 6th Baron Byron (22 Januari 1788 – 19 Aprili 1824) alikuwa mshairi na mwandishi mashuhuri nchini Uingereza. Mara nyingi anatajwa kwa cheo chake cha kikabaila kama Lord Byron.
Alikuwa mrithi wa mali kubwa hivyo aliweza kuendesha maisha kufuatana na mapenzi yake tu. Alikuwa maarufu kwa wapenzi wake wengi. Pamoja na kuandika alisafiri mahali pengi katika nchi za Bahari ya Mediteranea.
Tangu 1816 alihamia Italia alipojiingiza katika kundo la kisiasa lililolenga kuanzisha mapinduzi dhidi ya utawala wa Austria katika Italia ya Kaskazini. Aliamriwa kukaa katika mji wa Pisa bila kibali cha kutoka nje akatumia muda kwa mashairi.
1823 alipokea wito kutoka Ugiriki akawa kiongozi wa jeshi la Wagiriki waliopigania vita ya Uhuru dhidi ya Waturuki Waosmani. Hapa alikufa 1824 baada ya kungonjeka. Wagiriki wanamkumbuka hadi leo kama msaidizi wa uhuru wao.
Kazi zake [hariri]
- English Bards and Scotch Reviewers(1809)
- Childe Harold's Pilgrimage (1818)
- The Giaour (1813)
- The Prisoner of Chillon (1816)
- Manfred 1817)
Kazi ndogo [hariri]
- So, we'll go no more a roving
- The First Kiss of Love (1806)
- Thoughts Suggested by a College Examination (1806)
- To a Beautiful Quaker (1807)
- The Cornelian (1807) (text on Wikisource}
- Lines Addressed to a Young Lady (1807)
- Lachin y Garr (1807)
- Epitaph to a Dog (1808)
- She Walks in Beauty (1814)
Viungo vya Nje [hariri]
- Pictures of Byron's Walk, Seaham, County Durham
- Poems by Lord Byron at PoetryFoundation.org
- Podcast—Listen Live or download Audio of Childe Harold's Pilgrimage by Lord Byron
- A Website of the Romantic Movement
- Works by George Byron katika Project Gutenberg
- The Byron Society
- The Byron Society's Journal
- The International Byron Society
- Byron's Grave
- Detailed site on Newstead Abbey, Byron's ancestral home, and on Byron's life in general
- Hucknall Parish Church, Byron's final resting place
- Statue of Byron at Trinity College, Cambridge
- Complete list of Byron poetry
- The Byron Cronology
- Childe Harold's Pilgrimage
- Discussion of Byron's homosexuality
- Byron's Poetical Works, Vol. 1
- Byron's Poetical Works, Vol. 6
- The Works Of Lord Byron, Letters and Journals, Vol. 1
- The Works of Lord Byron: Letters and Journals, Vol. 2
- Byron's 1816-1824 letters to Murray and Moore about Armenian studies and translations
- The biography Byron by John Nichol
- Byron quotes
- Lord George Gordon Byron—Biography & Works
- Centre for Byron Studies, University of Nottingham
- The first Full English translation of Fantasmagoriana (Tales of The Dead)
- Byron page on The Literature Network
- Films based on Byron's life and works
- 2003 television dramatization of Byron's life by the BBC
- Detailed account of Byron's love for animals
- Inscription on the monument to Boatswain, Byron's dog
- More on Byron's Newfoundland dogs
- Byron manuscripts at the Harry Ransom Center, The University of Texas
- George Gordon, Lord Byron at Find-A-Grave
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Byron kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |