24 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1059 - Uchaguzi wa Papa Nikolasi II
- 1118 - Uchaguzi wa Papa Gelasio II
- 1887 - Waethiopia wanawashinda Waitalia katika mapigano ya Dogali.
[hariri] Waliozaliwa
- 1814 - John William Colenso, askofu wa Kanisa Anglikana nchini Afrika Kusini kutoka Uingereza
- 1979 - Tatyana Ali, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 772 - Papa Stefano III
- 817 - Papa Stefano IV
- 847 - Papa Sergio II
- 1965 - Winston Churchill (Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953)