11 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 347 - Theodosius Mkuu, Kaisari wa Dola la Roma (hadi 395)
- 1810 Johann Ludwig Krapf katika kijiji cha Derendingen (Ujerumani wa Kusini-Magharibi) atakayekuwa mmisionari wa CMS kwenye Ethiopia na Mombasa; atatunga kamusi na sarufi ya kwanza ya Kiswahili.
- 1859 - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1897 – Bernard DeVoto, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 1903 – Alan Paton, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1924 - Roger Guillemin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977)
Waliofariki [hariri]
- 705 - Papa Yohane VI
- 844 - Papa Gregori IV
- 1988 - Isidor Rabi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1944
- 1991 - Carl David Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 2008 - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand na mtu wa kwanza kufika kileleni Mount Everest