30 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1592 - Uchaguzi wa Papa Klementi VIII
- 1933 - Adolf Hitler aliteuliwa kuwa Chansella wa Ujerumani.
- 1948 - Mahatma Gandhi anauawa na Mhindu mkali anayechukia jitihada za Ghandi za kutunza umoja wa Uhindi na haki kwa ajili ya Waislamu Wahindi.
Waliozaliwa [hariri]
- 1882 - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani (1933-45)
- 1899 - Max Theiler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951)
- 1912 - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 1949 - Peter Agre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003
Waliofariki [hariri]
- 1867 - Komei, Mfalme Mkuu wa 121 wa Japani (1846-1867)
- 1928 - Johannes Fibiger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926)
- 1948 - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 1991 - John Bardeen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972)
- 2009 - Chedieli Yohane Mgonja, mwanasiasa wa Tanzania