Komei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Komei-Tenno

Komei (22 Julai 183130 Januari 1867) alikuwa mfalme mkuu wa 121 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Osahito. Tarehe 10 Machi 1846 alimfuata baba yake, Ninko, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Mutsuhito.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Komei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.