Mutsuhito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mutsuhito (3 Novemba, 185230 Juni, 1912) alikuwa mfalme mkuu wa 122 (Tenno) wa Japani. Pia anajulikana kama Meiji. Mwaka wa 1867 alimfuata baba yake, Komei, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Yoshihito.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Mutsuhito" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Mutsuhito kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi