3 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Okt - Novemba - Des | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1801 - Vincenzo Bellini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 1852 - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 1909 - James Reston, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 1921 - Charles Bronson, mwigizaji filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 1584 - Mtakatifu Karoli Borromeo, askofu wa mji wa Milano
- 1639 - Martin de Porres
- 1954 - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1996 - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-76) na Kaisari (1976-79) ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 2007 - Suzanne Bachelard, mwanafalsafa wa Ufaransa