Henri Matisse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henri Matisse

Henri Matisse (31 Desemba, 18693 Novemba, 1954) alikuwa msanii kutoka nchini Ufaransa. Alifanya kazi za kuchonga na kuchapisha lakini amejulikana hasa kama mchoraji.

Alipendwa kwa namna jinsi alivyotumia rangi katika picha zake.

[hariri] Mifano ya picha zake


[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henri Matisse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.