Suzanne Bachelard
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Suzanne Bachelard (18 Oktoba 1919 - 3 Novemba 2007, jiji la Paris) alikuwa ni mwanafilosofia na mtaaluma wa Ufaransa.[1] Mwaka 1958, alichapisha kitabu kilichofahamika kwa jina la La Conscience de la rationalité. Na pia alikua ni mtoto wa Mwanafilosofi aliyefamika kwa jina la Gaston Bachelard, ambaye alimhariria kitabu cha Fragments d'une Poétique du Feu.[onesha uthibitisho] na pia alifundisha katika shule ya Jacques Derrida akiwa kama msaidizi wa baba yake.[2]
Tazama pia [hariri]
Notes [hariri]
- ↑ (1996) Biographical Dictionary of Twentieth-Century Philosophers. London: Routledge, 42. ISBN 0415060435.
- ↑ Bennington (1991) p.330
Marejeo [hariri]
- Geoffrey Bennington (1991) Jacques Derrida, University of Chicago Press. Section Curriculum vitae pp. 325–36, Excerpts