1921
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | ►
◄◄ | ◄ | 1917 | 1918 | 1919 | 1920 | 1921 | 1922 | 1923 | 1924 | 1925 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1921 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1921 MCMXXI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5681 – 5682 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1913 – 1914 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1370 ԹՎ ՌՅՀ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1340 – 1341 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1299 – 1300 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1976 – 1977 |
| - Shaka Samvat | 1843 – 1844 |
| - Kali Yuga | 5022 – 5023 |
| Kalenda ya Kichina | 4617 – 4618 庚申 – 辛酉 |
- 22 Februari - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-76) na Kaisari (1976-79) ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 5 Mei - Arthur Schawlow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981)
- 15 Mei - Jack Steinberger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 14 Julai - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 15 Julai - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984
- 19 Julai - Rosalyn Yalow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977)
- 11 Agosti – Alex Haley (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1977)
- 3 Novemba - Charles Bronson, mwigizaji filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri]
- 5 Mei - Alfred Fried (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911)
- 13 Julai - Gabriel Lippmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908)
- 10 Septemba - John Tengo Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 28 Oktoba - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
Wikimedia Commons ina media kuhusu: