11 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1492 - Uchaguzi wa Papa Alexander VI
- 1960 - Nchi ya Chad inapata uhuru kutoka Ufaransa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1858 - Christiaan Eijkman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 1921 - Alex Haley, mwandishi kutoka Marekani
- 1926 - Aaron Klug, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1982
- 1988 - Angel Kamugisha, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1972 - Max Theiler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951)