Alex Haley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alex Haley

Alex Palmer Haley (11 Agosti, 192110 Februari, 1992) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa riwaya yake Roots ("Mizizi") inayosimulia historia ya vizazi vya Waafrika waliofungwa utumwani na kupelekwa Marekani. Mwaka wa 1977, alipokea Tuzo ya Pulitzer.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex Haley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.