Mona Van Duyn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mona Van Duyn, 1992 au 1993

Mona Jane Van Duyn (9 Mei 19212 Desemba 2004) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1991 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mona Van Duyn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.