13 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
- 1590 - Papa Klementi X
- 1608 - Kaisari Ferdinand III wa Ujerumani
- 1934 - Wole Soyinka (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1986)
- 1942 - Harrison Ford, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1954 - Sezen Aksu, mwanamuziki kutoka Uturuki
- 1977 - Ashley Scott, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri]
- 939 - Papa Leo VII
- 1921 - Gabriel Lippmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1908)
- 1954 - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 1974 - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948