1923
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | ►
◄◄ | ◄ | 1919 | 1920 | 1921 | 1922 | 1923 | 1924 | 1925 | 1926 | 1927 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1923 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 1 Septemba - Tetemeko la ardhi katika mji wa Kanto, Ujapani linaua watu 140,000.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1923 MCMXXIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5683 – 5684 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1915 – 1916 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1372 ԹՎ ՌՅՀԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1342 – 1343 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1301 – 1302 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1978 – 1979 |
| - Shaka Samvat | 1845 – 1846 |
| - Kali Yuga | 5024 – 5025 |
| Kalenda ya Kichina | 4619 – 4620 壬戌 – 癸亥 |
- 5 Machi - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 9 Machi - Walter Kohn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1998
- 10 Machi - Val Fitch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980)
- 2 Julai - Wislawa Szymborska (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1996)
- 21 Julai - Rudolph Marcus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1992)
- 9 Septemba - Carleton Gajdusek (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1976)
- 20 Novemba - Nadine Gordimer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1991)
- 13 Desemba - Philip Anderson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
Waliofariki [hariri]
- 10 Februari - Wilhelm Conrad Röntgen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1901)
- 26 Machi - Sarah Bernhardt, mwigizaji tamthilia kutoka Ufaransa
- 2 Agosti - Warren G. Harding, Rais wa Marekani (1921-23)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: