19 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 711 - Waarabu wanashinda jeshi la Wagoti wa Magharibi na kuangusha dola la Wagoti.
Waliozaliwa [hariri]
- 1419 - Go-Hanazono, mfalme mkuu wa Japani (1428-1464)
- 1921 - Rosalyn Yalow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977)
- 1976 - Diether Ocampo, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 1988 - Ayo Yusuf, mwimbaji kutoka Nigeria
Waliofariki [hariri]
- 514 - Papa Symmachus
- 1965 - Ingrid Jonker, mwandishi wa Afrika Kusini