Go-Hanazono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Go-Hanazono (19 Julai, 141918 Januari, 1471) alikuwa mfalme mkuu wa 102 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hikohito. Tarehe 7 Septemba, 1428 alimfuata Shoko, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Agosti, 1464. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Tsuchimikado.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Hanazono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine