26 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1497 - Katika safari yake ya kwanza, Vasco da Gama anafikia visiwa vya Cabo Verde.
- 1887 - Ludwik Zamenhof alichapisha kitabu cha kwanza cha lugha ya Kiesperanto kwa lugha ya Kirusi.
- 1952 - Nchi ya Misri inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa [hariri]
- 1678 - Kaisari Joseph I wa Ujerumani
- 1829 - Auguste Beernaert (mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909)
- 1856 - George Bernhard Shaw (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1925)
- 1875 - Carl Gustav Jung, mwanasaikolojia kutoka Uswisi
- 1928 - Stanley Kubrick, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1939 - Wopko Jensma, mshairi wa Afrika Kusini
- 1964 - Sandra Bullock, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1973 - Kate Beckinsale, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
Waliofariki [hariri]
- 432 - Papa Celestino I
- 1471 - Papa Paulo II
- 1999 - Walter Jackson Bate, mwandishi kutoka Marekani