27 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1835 - Giosue Carducci (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1906)
- 1881 - Hans Fischer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1930)
- 1963 - Donnie Yen, mwigizaji filamu kutoka Uchina
- 1983 - Blandina Changula, mwigizaji filamu kutoka Tanzania
- 1989 - Savio Nsereko, mchezaji mpira kutoka Ujerumani
Waliofariki [hariri]
- 1917 - Emil Theodor Kocher (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1909)
- 1948 - Susan Glaspell, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 2008 - Chacha Zakayo Wangwe, mwanasiasa wa Tanzania