Klementi wa Ohrid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Klementi.

Klementi wa Ohrid (pia: Kliment, Klemes; 830/840 - Ohrid[1], leo nchini Masedonia Kaskazini[2], Julai 916) alikuwa msomi, mfuasi maarufu zaidi wa Sirili na Methodi, wamisionari wa Waslavi. Alifanywa askofu akainjilisha Wabulgaria[3][4][5][6][7] [8].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai[9].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Karl Cordell, Stefan Wolff, Ethnic Conflict: Causes, Consequences, and Responses, (Polity Press, 2009), 64.
  2. Official site of the Macedonian orthodox church Archived 2010-03-24 at the Wayback Machine
  3. Who are the Macedonians? Hugh Poulton, C. Hurst & Co. Publishers, 2000, ISBN 1850655340, p. 19.
  4. Biographical Dictionary of Christian Missions, Gerald H. Anderson, Wm. B. Eerdmans Publishing, 1999, ISBN 0802846807, p. 138.
  5. A Concise History of Bulgaria, R. J. Crampton, Cambridge University Press, 2005, ISBN 0521616379, p. 15.
  6. Byzantium's Balkan Frontier: A Political Study of the Northern Balkans, 900-1204, Paul Stephenson, Cambridge University Press, 2000, ISBN 0521770173, pp. 78-79.
  7. The A to Z of the Orthodox Church, Michael Prokurat, Alexander Golitzin, Michael D. Peterson, Rowman & Littlefield, 2010, ISBN 0810876027, p. 91.
  8. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91041
  9. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.