Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanuni ya Ndugu Wadogo iliyoandikwa na Mt. Fransisko na kuthibitishwa na Papa Honorius III.

Orodha ya Watakatifu Wafransisko ifuatayo inaripoti majina ya Wafransisko wote waliotangazwa watakatifu, sifa zao pamoja na miaka ya kuzaliwa na kufa kwao na tarehe za kuadhimishwa na Kanisa Katoliki.

Wameorodheshwa kufuatana na utawa na mwaka ya kuzaliwa, isipokuwa mwanzilishi aliyepewa nafasi ya kwanza.

Alama ya ulizo inaonyesha wasiwasi kuhusu mtakatifu fulani kujiunga na utawa au kuhusu mwaka wa kuzaliwa au kufa.

Katika liturujia wanaadhimishwa pia pamoja tarehe 29 Novemba, siku ya Kanuni kuthibitishwa na Papa Honorius III.

Utawa wa Kwanza[hariri | hariri chanzo]

Utawa wa Pili[hariri | hariri chanzo]

Utawa wa Tatu - Waregulari[hariri | hariri chanzo]

Utawa wa Tatu - Wasekulari[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]