Susan Glaspell
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Susan Keating Glaspell (1 Julai, 1876 – 27 Julai, 1948) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1931, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa tamthiliya yake Alison's House ("Nyumba ya Alison").
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Susan Glaspell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |