1931
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1927 | 1928 | 1929 | 1930 | 1931 | 1932 | 1933 | 1934 | 1935 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1931 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1931 MCMXXXI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5691 – 5692 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1923 – 1924 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1380 ԹՎ ՌՅՁ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1350 – 1351 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1309 – 1310 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1986 – 1987 |
| - Shaka Samvat | 1853 – 1854 |
| - Kali Yuga | 5032 – 5033 |
| Kalenda ya Kichina | 4627 – 4628 庚午 – 辛未 |
- 20 Januari - David Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1 Februari - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 18 Februari - Toni Morrison (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1993)
- 22 Machi - Burton Richter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976)
- 31 Mei - Robert Schrieffer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972)
- 19 Agosti - Marianne Koch, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 23 Agosti - Hamilton Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 29 Septemba - James Cronin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980)
- 7 Oktoba - Askofu Desmond Tutu
- 4 Novemba - Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu wa Tanzania (1980-83 na 1994-95)
- 15 Novemba - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya
- 25 Desemba - Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki aliyekuwa askofu mkuu wa Nairobi wa kanisa katoliki
bila tarehe
- Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 7 Januari – Edward Channing (mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1926)
- 26 Februari - Otto Wallach (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1910)
- 8 Aprili - Erik Axel Karlfeldt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931)
- 9 Mei - Albert Abraham Michelson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1907)
- 12 Julai - Nathan Söderblom (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: