Hamilton Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hamilton Othanel Smith

Hamilton Othanel Smith (amezaliwa 23 Agosti 1931) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua vimeng'enya vinavyowezesha usimbuaji wa DNA. Mwaka wa 1978, pamoja na Werner Arber na Daniel Nathans alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamilton Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.