19 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
- 1458 - Uchaguzi wa Papa Pius II
- 1919 - Nchi ya Afghanistan inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa[hariri]
- 1903 - James Gould Cozzens, mwandishi kutoka Marekani
- 1931 - Marianne Koch, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 1946 - Bill Clinton, Rais wa Marekani (1993-2001)
Waliofariki[hariri]
- 1493 - Kaisari Federiki III wa Ujerumani (alitawala 1440-93)
- 1662 - Blaise Pascal
- 1994 - Linus Pauling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1962)
- 2006 - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika