Otto Wallach
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Wallach (27 Machi, 1847 – 26 Februari, 1931) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza michanganyiko kama terpini. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Otto Wallach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |