1 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1119 - Uchaguzi wa Papa Callixtus II
[hariri] Waliozaliwa
- 1905 - Emilio Segre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 1931 - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 1952 - Roger Tsien (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008)
[hariri] Waliofariki
- 1691 - Papa Alexander VIII
- 1958 - Clinton Davisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 1976 - George Whipple (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 1976 - Werner Heisenberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1932)