Yohane wa Saint-Malo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yohane.

Yohane wa Saint-Malo, O.Cist. (pia: wa Chatillon; Bretagne, 1098 - Saint-Malo, Bretagne 1 Februari 1163) alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Citeaux, halafu abati wa monasteri mpya na hatimaye askofu mtenda haki na mwenye kiasi, ambaye alihimizwa na Bernardo wa Clairvaux kuishi kifukara, kuwa rafiki wa fukara na kupenda ufukara. Alihamisha makao makuu ya jimbo lake huko Bretagne kutoka Aleth hadi Saint-Malo, alipofariki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Leo X mwaka 1517.

Sikukuu huadhimishwa siku ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (en) Catholic Hierarchy.org Bishop: Jean de Châtillon (de la Grille) [archive].
  • Sous la direction de Jean-Luc Blaise, Jean de Chatillon second fondateur de Saint-Malo, Saint-Malo, éditions Cristel, coll. « Les Dossiers de la Société d'Histoire », 2014, 187 p. (ISBN 9782844211118).
  • (fr) André Chédeville & Noël-Yves Tonnerre, La Bretagne féodale xie – xiiie siècle, Rennes, Ouest-France Université, 1987, 427 p. (ISBN 9782737300141), p. 233,237,238,259,278
  • (la) Jean-Barthélemy Hauréau, Gallia Christiana, vol. XIV Provincia Turonensi, Paris, Firmin-Didot, 1856, 1142 p., p. 1001-1002 Ecclesia Macloviensis XXI Johannes
  • (fr) Abbé Manet, Biographie des Malouins célèbres, Saint-Malo et Marseille, Lafitte reprints, 1824 & 1977, 387 p. (ISBN 9781160047074), p. 359-360.
  • (fr) François Tuloup Saint-Malo Histoire Religieuse éditions Klinckieck, Paris 1975.
  • (fr) François Tuloup De virus illustribus urbis macloviencis Les Nouvelles de Bretagne, Rennes 1966 p. 9-10.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.