Papa Leo X

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Leo X

Papa Leo X (11 Desemba, 14751 Desemba, 1521) alikuwa papa kuanzia 9 Machi, 1513 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni di Lorenzo de' Medici. Alimfuata Papa Julius II. Leo X alimtenga Martin Luther na kanisa tarehe 3 Januari, 1521.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.