Papa Alexander VIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Alexander VIII

Papa Alexander VIII (22 Aprili 16101 Februari 1691) alikuwa papa kuanzia 6 Oktoba 1689 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Vito Ottoboni. Alimfuata Papa Innocent XI akafuatwa na Papa Innocent XII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Alexander VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.