14 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
- Tarehe 14 Februari ni sikukuu ya Mt. Valentinus katika kalenda ya kikatoliki inayosheherekewa kama "Siku ya wapendanao"
Matukio [hariri]
- 1130 - Uchaguzi wa Papa Innocent II
Waliozaliwa [hariri]
- 1869 - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 1917 - Herbert Hauptman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
Waliofariki [hariri]
- 869 - Mt. Kyrilo (amezaliwa 827) aliyeeneza Ukristo kati ya Waslavoni pamoja na kakaye Mt. Methodio na kuanzisha mwandiko wa Kikyrili.
- 1779 - James Cook, mpelelezi kutoka Uingereza
- 1975 - Julian Huxley (mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO)
- 1975 - P. G. Wodehouse
- 1982 - Antonio Casas, mwigizaji filamu kutoka Hispania