1869
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1865 | 1866 | 1867 | 1868 | 1869 | 1870 | 1871 | 1872 | 1873 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1869 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1869 MDCCCLXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5629 – 5630 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1861 – 1862 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1318 ԹՎ ՌՅԺԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1286 – 1287 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1247 – 1248 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1924 – 1925 |
| - Shaka Samvat | 1791 – 1792 |
| - Kali Yuga | 4970 – 4971 |
| Kalenda ya Kichina | 4565 – 4566 戊辰 – 己巳 |
- 14 Februari - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 27 Juni - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 27 Juni - Hans Spemann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1935)
- 3 Septemba - Fritz Pregl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1923)
- 17 Septemba - Christian Lous Lange, mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 2 Oktoba - Mahatma Gandhi, mwanasheria, mwanafalsafa na kiongozi wa kisiasa nchini Uhindi
- 22 Novemba - Andre Gide (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1947)
- 30 Novemba - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
- 31 Desemba - Henri Matisse, mchoraji kutoka Ufaransa
Waliofariki [hariri]
- 8 Machi - Hector Berlioz, mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
- 8 Oktoba - Franklin Pierce, Rais wa Marekani (1853-1857)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: