1864
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1860 | 1861 | 1862 | 1863 | 1864 | 1865 | 1866 | 1867 | 1868 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1864 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 22 Agosti - Nchi 12 zinakubali Mapatano ya Geneva zikihamasishwa na Henri Dunant, mwanzilishaji wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1864 MDCCCLXIV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5624 – 5625 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1856 – 1857 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1313 ԹՎ ՌՅԺԳ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1281 – 1282 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1242 – 1243 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1919 – 1920 |
| - Shaka Samvat | 1786 – 1787 |
| - Kali Yuga | 4965 – 4966 |
| Kalenda ya Kichina | 4560 – 4561 癸亥 – 甲子 |
- 13 Januari - Wilhelm Wien (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911)
- 25 Juni - Walther Nernst (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1920)
- 20 Julai - Erik Axel Karlfeldt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1931)
- 11 Novemba - Alfred Fried (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911)
- 24 Novemba - Henri de Toulouse-Lautrec, mchoraji wa Ufaransa
Waliofariki [hariri]
- 31 Desemba - George Mifflin Dallas, Kaimu Rais wa Marekani (1845-1849)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: