13 Januari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Des - Januari - Feb
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 13 Januari ni siku ya kumi na tatu ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 352 (353 katika miaka mirefu).

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Hilari wa Poitiers, Ermili na Stratoni, Agrisi wa Trier, Remiji wa Reims, Kentigerno, Petro wa Kapitolias, Gumesindi na Servidi, Godfredo wa Cappenberg, Iveta, Dominiko Pham Thong, Luka Thin Viet Pham, Yosefu Pham Thong Ta n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 13 Januari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.