18 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1535 - Francisco Pizarro anaunda mji wa Lima (Peru).
- 1701 - Mtemi Friedrich wa Brandenburg (Ujerumani) anabarikiwa kuwa na cheo cha mfalme katika Prussia
- 1871 - Mfalme Wilhelm I wa Prussia anatangazwa kuwa Kaisari wa Ujerumani mjini Versailles (Ufaransa)
[hariri] Waliozaliwa
- 1867 - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
[hariri] Waliofariki
- 1862 - John Tyler, Rais wa Marekani (1841-1845)
- 1936 - Rudyard Kipling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907)
- 1995 - Adolf Butenandt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1939)

