2 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1492 - Mfalme Boabdil wa Granada anasalimisha mji wake kwa wafalme wa Hispania - mwisho wa utawala wa Kiislamu katika Hispania
Waliozaliwa [hariri]
- 1837 - Mily Balakirev, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1967 - Tia Carrere, mwigizaji filamu kutoka Hawaii
- 1988 - Ruth Bosibori, mwanariadha kutoka Kenya
Waliofariki [hariri]
- 457 - Markian, Kaizari wa Dola la Roma Mashariki (450-457)