1492
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 14 | Karne ya 15 | Karne ya 16 | ►
◄ | Miaka ya 1460 | Miaka ya 1470 | Miaka ya 1480 | Miaka ya 1490 | Miaka ya 1500 | Miaka ya 1510 | Miaka ya 1520 | ►
◄◄ | ◄ | 1488 | 1489 | 1490 | 1491 | 1492 | 1493 | 1494 | 1495 | 1496 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1492 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 2 Januari - Mfalme Boabdil wa Granada anasalimisha mji wake kwa wafalme wa Hispania - mwisho wa utawala wa Kiislamu katika Hispania
- 30 Machi - Wafalme Ferdinand na Isabella wa Hispania waamuru kufukuzwa nchini kwa Wayahudi wote wasiopokea imani ya kikatoliki
- 31 Julai - Wahayudi wanafukuzwa Hispania
- Sultani Bayazid II wa Dola la Uturuki anatuma meli zake kwa shabaha ya kupokea Wayahudi wanaofukuzwa Hispania na kuwapeleka katika miji ya dola lake
- 2 Agosti - Kristoforo Kolumbus anaanza safari yake ya kwanza ya kuvuka Atlantiki akiamini ya kwamba anaelekea Uhindi
- 11 Agosti - Uchaguzi wa Papa Alexander VI
- 12 Oktoba - Kristoforo Kolumbus anafika kwenye visiwa vya Karibi akiamini ya kwamba amefika Uhindini.
- 28 Oktoba - Kristoforo Kolumbus anafika Kuba.
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1492 MCDXCII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5252 – 5253 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1484 – 1485 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 941 ԹՎ ՋԽԱ |
| Kalenda ya Kiislamu | 897 – 898 |
| Kalenda ya Kiajemi | 870 – 871 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1547 – 1548 |
| - Shaka Samvat | 1414 – 1415 |
| - Kali Yuga | 4593 – 4594 |
| Kalenda ya Kichina | 4188 – 4189 辛亥 – 壬子 |
Waliofariki[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: