Karne ya 15
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 13 | Karne ya 14 | Karne ya 15 | Karne ya 16 | Karne ya 17 | ►
Miaka ya 1400 | Miaka ya 1410 | Miaka ya 1420 | Miaka ya 1430 | Miaka ya 1440 | Miaka ya 1450 | Miaka ya 1460 | Miaka ya 1470 | Miaka ya 1480 | Miaka ya 1490
Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
Watu na matukio[hariri]
| Karne: Karne ya 14 | Karne ya 15 | Karne ya 16 |
| Miongo na miaka |
| Miaka ya 1400 | 1400 1401 1402 1403 1404 1405 1406 1407 1408 1409 |
| Miaka ya 1410 | 1410 1411 1412 1413 1414 1415 1416 1417 1418 1419 |
| Miaka ya 1420 | 1420 1421 1422 1423 1424 1425 1426 1427 1428 1429 |
| Miaka ya 1430 | 1430 1431 1432 1433 1434 1435 1436 1437 1438 1439 |
| Miaka ya 1440 | 1440 1441 1442 1443 1444 1445 1446 1447 1448 1449 |
| Miaka ya 1450 | 1450 1451 1452 1453 1454 1455 1456 1457 1458 1459 |
| Miaka ya 1460 | 1460 1461 1462 1463 1464 1465 1466 1467 1468 1469 |
| Miaka ya 1470 | 1470 1471 1472 1473 1474 1475 1476 1477 1478 1479 |
| Miaka ya 1480 | 1480 1481 1482 1483 1484 1485 1486 1487 1488 1489 |
| Miaka ya 1490 | 1490 1491 1492 1493 1494 1495 1496 1497 1498 1499 |
- Ulaya kutoka Karne za kati inaingia hali mpya kuanzia Italia
- Huko Amerika ustaarabu wa Waazteki (Meksiko) na wa Wainkas (Peru)
- Mwisho wa Vita vya miaka mia
- Mwisho wa Dola la Bizanti (1453); Waturuki wanaenea Ulaya mashariki kusini
- Wakristo wanamaliza kuteka tena Hispania kutoka utawala wa Uislamu 1492
- Kristofa Columbus (Genova, 1451 - Valladolid, 1506), anafungua njia za baharini kati ya Ulaya na Amerika
- Leonardo wa Vinci, mwanasayansi na mwanasanaa bora
- Johann Gutenberg, anabuni uchapishaji kwa herufi za kuhamishwahamishwa
Viungo vya nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 15 kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |