1 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Katika nchi nyingi 1 Januari ni sikukuu ya Mwaka Mpya
Matukio [hariri]
- 1956 - Nchi ya Sudani inapata uhuru kutoka Misri na Uingereza.
- 1984 - Nchi ya Brunei inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 1993 - Nchi ya Chekoslovakia inatengwa kuwa nchi mbili, yaani Ucheki na Slovakia.
Waliozaliwa [hariri]
- 1431 - Papa Alexander VI
- 1638 - Go-Sai, mfalme mkuu wa Japani (1654-1663)
- 1909 - Shaaban Robert (mshairi maarufu wa Tanzania)
- 1941 - Evaristo Marc Chengula, askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya, Tanzania
- 1950 - Mudhihir Mohamed Mudhihir, mwanasiasa wa Tanzania
- 1954 - Sigfrid Selemani Ng'itu, mwanasiasa wa Tanzania
- 1953 - Alpha Blondy, mwanamuziki kutoka Cote d'Ivoire
- 1954 - Sigfrid Selemani Ng'itu, mwanasiasa wa Tanzania
- 1962 - Richard Roxburgh, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 1992 - Jack Wilshere, mchezaji mpira kutoka Uingereza
Waliofariki [hariri]
- 379 - Basil wa Caesarea
- 1995 - Eugene Wigner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)