Sudan
|
|||||
| Wito la taifa: Al-Nasr Lana (Kiarabu: Ushindi ni Wetu) | |||||
| Wimbo wa taifa: نحن جند للہ جند الوطن Nahnu Jund Allah Jund Al-watan ("Sisi ni Jeshi ya Mungu na Nchi yetu") | |||||
| Mji mkuu | Khartoum |
||||
| Mji mkubwa nchini | Omdurman | ||||
| Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
| Serikali
Rais
|
Omar al-Bashir |
||||
| Uhuru - Tarehe |
Kutoka Misri na Uingereza Januari 1, 1956 |
||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
1,886,068 km² (ya 16) 5% |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 1993 sensa - Msongamano wa watu |
36,992,490 (ya 40) 31,894,000 16.4/km² (195) |
||||
| Fedha | Dinar (SDD) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MSK (UTC+3) not observed (UTC+3) |
||||
| Intaneti TLD | .sd | ||||
| Kodi ya simu | +249 |
||||
| Alama ya kimataifa ya magari | {{{vehicle_code}}} |
||||
Jamhuri ya Sudan, ama Sudan ni nchi kubwa ya tatu ya Afrika kulingana na eneo. Kijiografia nchi hii huhesabiwa kama sehemu ya Afrika ya Kaskazini. Mji mkuu ni Khartoum. Imepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Sudan Kusini kusini-mashariki, Afrika ya Kati na Chadi magharibi, na Libya kaskazini-magharibi.
Majimbo ya Sudan Kusini yalikuwa sehemu ya nchi hiyo lakini yalipiga kura ya kujitenga yakapata kuwa nchi huru kuanzia tarehe 9 Julai 2011.
Yaliyomo |
[hariri] Maeneo ya Sudan
[hariri] Majimbo
|
|
[hariri] Madaraka, Kujigawa, na Vita
Makabila ya kusini yalipigania vita ndefu hadi kupata uhuru.
Darfur ni eneo yenye majimbo matatu ambaye imeathiriwa na vita vya kisiasa, vita vya Darfur.
Pia kuna wanamgambo upande wa mashariki Umbele wa Mashariki.
[hariri] Jiografia
Sudan iko upande wa Afrika ya kaskazini, imepakana na bahari ya Shamu kati ya Misri na Eritrea. Imetamalikiwa zaidi na mto Nile na mikono yake.
Kwa eneo ya mraba kilomita 1,886,068 (728,215 sq mi), ni nchi ya tatu kwa ukubwa katika bara Afrika na ya kumi na sita duniani. Ardhi yenyewe ni kiwara, lakini kuna milima upande wa mashariki na magharibi. Hali ya anga ni ya mwangaza kusini, na mikuranga kaskazini. Mvua yapatikana mwezi wa Aprili na Oktoba. Kudhoofika kwa mazingira hasa ni kwa sababu ya mmomonyoko wa udongo na utapakazi wa jangwa.
Ona pia: Orodha ya miji Sudan
[hariri] Uchumi
[hariri] Watu na makabila
Kadiri ya sensa za mwaka 1993, wakazi walihesabiwa kuwa milioni 26. Hakuna sensa nyingine iliyofanywa kutoka mwaka huo kwa sababu ya Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Umma hasa wakadiriwa na kitabu cha wadadisi wa Marekani kuwa milioni 39 mwaka 2004.
Umma wa miji kama Khartoum (na pia Khartoum, Omdurman, na Khartoum ya kaskazini) waongezeka zaidi, umma wa miji hii yakadiriwa milionI 6-7 na wengine wahamiaji milioni 2 ambao wamekimbia vita vya kusini, magharibi, mashariki na pia wengine kwa sababu ya ukame.
Sudan ina aina mbili za utamaduni — Waafrika walio na Uarabu na Waafrika wasio Waarabu — na maelfu ya kabila na migao ya kabila, lugha tofautitofauti kwa makundi au kabila – migawanyiko hii uleta siasa za utengo na ubaguzi.
Majimbo ya Kaskazini hasa ndio kubwa nchini Sudan, na pia miji mikubwa hiko kwa majimbo haya. Zaidi ya milioni 22 wanaoishi kwa majimbo haya na eneo hizi za kaskazini ni Waislamu-Waarabu na wanao ongea kiarabu lakini wengi pia huongea lugha za mama hasa kama Ki-nubi, Ki-beja, Ki-fur, Ki-nuban, Ki-ingessana, kwa kikundi hiki kunawale wavutia zaidi kama: Wa-Kababish kutoka kaskazini Kordofan, Watu hawa wanaolea ngamiaa; Ga’alin (الجعلين), Rubatab (الرباطاب), Manasir (المناصير) and Shaiqiyah (الشايقيّة) makabila ambao kikao chao ni karibu na mito ni kama; Baggara wa Kurdufan na Darfur; Wakiham Beja eneo ya bahari la sham na Wanubi wa kaskazini Nile, ambao wengine kahamishwa karibu na mto Atbara. Eneo ya Shokrya kwa Wa-butana, Wa-bataheen wame pakana na Wa-ga’alin na Wa-shorya, upande wa kusini-magharibi eneo ya Butana.in the south west of Butana. Pia kuna Wa-rufaa, Wa-halaween na kabila nyingi zingine eneo ya Gazeera na kwa ufuo wa Bluu Nile na eneo ya Dindir. Hata pia Wa-nubi kusini mwa Eneo yaKurdufan na Wa-fur upande wa magharibi..
[hariri] Watu wa Sudan
- Ja'alein
- Shigia
- Rubatab
- Shokrya
- Ababda
- Azande
- Baggara
- Beja
- Dinka
- Fur
- Mahas
- Manasir
- Masalit
- Hausa
- Nuba
- Nuer
- Rashaida
- Zaghawa
(zaidi, eneo ambazo zime chapika)
- Acholi mashariki
- Ayuak mashariki ya kati
- Barit Mji wa Juba
- Didiga mashariki
- Kakua kusini-mashariki
- Latuga mashariki
- Madi mashariki
- Shilluk mashariki
- Toposa mashariki
- Nyingine zaidi
[hariri] Utamaduni
[hariri] Dini
Dini kubwa zaidi ni Uislamu (97%).
Wakristo ni waumini hasa wa Kanisa Katoliki, Anglikana Kanisa ya Sudan, Wapresbiteriani na Wakopti wa Sudan.
[hariri] Elimu
Vyuo Vikuu vya Sudan:
- Akademia ya Sayansi ya Utabibu
- Chuo Kikuu cha Wanawake cha Ahfad
- Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Bayan
- Chuo cha Watu wa Compyuta
- Chuo Kikuu cha Omdurman Ahlia
- Chuo Kikuu cha Gezira
- Chuo kikuu cha Khartoum
- Chuo Kikuu cha Sudan cha Sayannsi na Teknolojia
[hariri] Ona pia
- Miji Sudan
- Elimu Sudan
- Vita vya Darfur
- Ukoo wa Sudan
- Haki za Kibinadamu Sudan
- Janjaweed
- Kush
- Vijana wa Sudan Waliopotea (Docu-cinema)
- Mradi wa Bwawa ya Merowe
- Jeshi ya Sudan
- Eneo ya Nubia
- Waziri Mkuu wa Sudan
- Wahamiaji wa Sudan Nchini Misri
- Misheni ya Muungano wa Kimataifa Sudan
- Walii Mlezi: Josephine Bakhita
[hariri] Vifungu Kiwazowazo
[hariri] Viungo via Nje
Maarifa ya Kawaida
- [1]. (stm BBC habari za taratibu za - Sudan
- CIA World Factbook - Sudan-(kutoka kitabu cha wadadisi wa Marekani).
- Congressional Research Service (CRS) Reports regarding Sudan –(Kutoka taarifa za baraza ya Marekani)
- Open Directory Project - Sudan directory category-(kutoka mwelekezo wa Sudan)
- (Idara ya mambo ya kigeni ya marekani- Sudan ya husu maandiko zingatizi kuhusu, usomi wa nchi na habari kuu za nchi.
<!—Tafadhali usiweke maadishi au kifungu kuhusu biashara hapa, kwa mfano; vitabu vya Sudan --> <!—Ukiweka maadishi hayo, waweza KUFUNGIWA kuhariri Wikipedia! -->
Serikali
- (Serikali ya Sudan) makala rasmi
- (Kiarabu) Majlis Watani makala rasmio ya bunge .
Habari
- AllAfrica.com - Sudan Viungo via Habari.
- Forced Migration Review Sudan issue taratibu za kutua amani
- Guardian Unlimited - Special Report: Sudan
- Sudan News Agency (SUNA) and SunaSMS government sites
- Yahoo! News Full Coverage - Sudan news headline links
- Sudan Tribune France-based (in English)
Picha
(Sura mpay ya sudan)
Utalii
- {{{2}}} travel guide kutoka Wikisafiri
Nyingine
- Sudan.net portal
- Sudaneseonline.com portal
- Sudani.com Portal
- Slavery in Sudan
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |