31 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1868 - Theodore William Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1914)
- 1881 - Irving Langmuir (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1932)
- 1929 - Rudolf Moessbauer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961)
- 1935 - Kenzaburo Oe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1994)
- 1956 - John Lydon, mwanamuziki kutoka Uingereza
Waliofariki [hariri]
- 1888 - John Bosco, padre mtakatifu kutoka Italia
- 1933 - John Galsworthy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1932)
- 1955 - John Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946)