John Galsworthy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Galsworthy (14 Agosti, 186731 Januari, 1933) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Aliandika hasa riwaya, tamthiliya na insha. Mwaka wa 1932 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "John Galsworthy" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu John Galsworthy kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi